Baadhi
ya majeruhi katika ajali ya Basi la Luhuye Express iliyotokea juzi
Wilaya ya Busega mkoani Simiyu wakipelekwa chumba cha upasuaji katika
Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza. Mpaka sasa watu 16 wamepoteza
maisha.

Majeruhi wakiwa hospitalini Bgando.
Majeruhi wakiendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza.
(PICHA ZOTE KWA HISANI YA G SENGO BLOG)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi