PICHA ZA MAFURIKO YALIYOIKUMBA WILAYA YA KYELA MKOANI MBEYA

Mbunge wa Kyela Dr. Mwakyembe akikagua Barabara iendayo Bandari ya Kiwira Muda huu
 Baadhi ya watu wakigangaika kupita juu ya maji hayo yaliyotokana na Mafuriko

 Baadhi ya watu mbalimbali wakiwa wanashuhudia Mafuriko hayo muda huu
 Gari Likiwa limekwama katika tope lililotokana na Mafuriko hayo, hili ni eneo la Bujonde 
Picha kwa Hisani ya Kaka yetu mdau Mkubwa  Felix Mwakyembe

Na Mbeya yetu


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo