


KATIKA
hatua Hii "Ngumu Kuvumilia na Kuzuia Hisia", Ndipo nikaamini kabisa
kuwa Brother, DJ ALEX, Da Wolf, Baba Rachel, The Turntable Witch, Our
real Neccah, Hautorudi Tena, sintosikia wala kukuona akifanya Hot
Mixings tena. Sintokusikia tena ukiniambia Niache UKUKU na nipige
Kazi....
I MISS YOU BROTHER..R.I.P..tuko njia Moja..
I MISS YOU BROTHER..R.I.P..tuko njia Moja..

