Mtu mmoja
ameuawa maeneo ya Mbezi Salasala jijini Dar,kwa mujibu wa shuhuda alisema kuwa mtu
huyo alikuwa anaomba msaada majira ya saa kumi alfajiri leo,ambapo kuna
watu walikuwa wakimpiga, kumkatakata mapanga na kutaka kumchoma
moto,haijajulikana kama alikuwa mwizi au kauawa na vibaka.
Source: Clouds Fm
