Matukio ya ukatili kwa watoto kila siku yamekua yakitangazwa kupitia
vyombo mbalimbali vya habari huku wengine tukisikia kuwa pamoja na
kufanya ukatili huo walikua bado wako uraiani,hili ni tukio lingine
ambalo pia mshtakiwa wa kosa hilo inasemekana bado yuko uraiani.
Bonyeza play kusikiliza.
Chanzo: millardayo.com
