Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mhe. Moshi Chang'a ( enzi za uhai wake )

akizungumza katika mahafali ya pili ya chuo cha ualimu St. Aggrey
Chanji.
=====
Mkuu
wa Wilaya ya Kalambo Mhe. Moshi Mussa Chang'a
amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es
Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na
Kisukari.
Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha wanandugu. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.
(Na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa)