Mazingira ya kuuzia nyama (mabucha) katika soko maarufu kama la Bulongwa lililopo kijiji cha kitula hayaridhishi kutokana na kuwepo kwa ufinyu wa kufanya usafi kwenye mazingira hayo, kwa sasa majengo haya unayoyaona kwenye picha hizo hapo juu hutumika kila siku ya gulio ambayo ni Jumamosi, kutokana na mazingira hayo kuwa katika hali ya uchafu ipo hatari ya watumiaji wa nyama kupatwa na magonjwa. (picha na Eddy Blog Team)
RAIS SAMIA AAGIZA HAYA KUMUENZI MTEI
44 minutes ago



