Akaunti feki ya Lulu katika mtandao wa kijamii wa Instagram.
Baadhi ya matukio yaliyotupiwa katika akaunti hiyo feki.
Kupitia Instagram, Lulu amesema: “Dah
sijui niseme vipi…hizi facebook accounts sio zangu…kama huyu anaomba
michango eti…dah the same account ipe post video ya ex…..na ziko account
nyingi sana….now mm sina account yoyote facebook nina fan page moja tu
ELIZABETH LULU MICHAEL….kwahiyo kuweni makini na hao matapeli…na nyie
mnaotumia jina langu vibaya I thnk it[s time to leave me alone…kwa hayo
mapenzi ya kutumia jina langu ovyo nimeshindwa mm…..”
Hiki ndicho alichokiandika Lulu kupitia akaunti yake origino ya Instagram.