KIJANA WA MIAKA 18 APOTEZA MAISHA BAADA YA KUJERUHIWA NA KIBOKO HUKO SIMIYU..!!

 Mkazi mmoja wa kijiji cha Malili kata ya Malili Wilayani Busenda mkoani Simiyu Japhet Nhandi(18) amefariki dunia baada ya kujeruhiwa vibaya na mnyama aina ya kiboko. 
 
Tukio hilo limetokea jana wilayani humo baada ya wananchi kupampana na mnyama huyo,kitu kilichopelekea kumuua kijana huyo.  Kaka wa marehemu aliyekuwepo katika tukio hilo John Nhandi, ameiambia Blog hii kuwa tukio hili limetokea saa 10 jioni kijijini humo wakati wa mapambano na mnyama huyo.  
 
Amesema baada ya kujeruhiwa vibaya walifanya utaratibu wa kumpeleka mdogo wake katika hospital ya rufaa ya bugando iliyopo jijini Mwanza,lakini wakati wakiwa njiani alifariki dunia kutokana na kujeruhiwa sana na mnyama huyo.  Kwa upande wake Mbunge wa jimbo la Busenda Kitusi Kamani (CCM),ambaye amehudhuria mazishi hayo kama sehemu ya mshikamano na kuwapa pole wafiwa, amesema wanachi wilayani humo wanatakiwa kuwa makini na wanyama pori wanaoingia kijijini humo.  
 
Mbunge Kamani yupo wilayani Busenda kwa mapumziko na kuendelea kuhamasisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo katika jimbo lake. -

Mkazi mmoja wa kijiji cha Malili kata ya Malili Wilayani Busenda mkoani Simiyu Japhet Nhandi(18) amefariki dunia baada ya kujeruhiwa vibaya na mnyama aina ya kiboko.

Tukio hilo limetokea jana wilayani humo baada ya wananchi kupampana na mnyama huyo,kitu kilichopelekea kumuua kijana huyo.

Kaka wa marehemu aliyekuwepo katika tukio hilo John Nhandi, ameiambia Radio Kahama FM kuwa tukio hili limetokea saa 10 jioni kijijini humo wakati wa mapambano na mnyama huyo.

Amesema baada ya kujeruhiwa vibaya walifanya utaratibu wa kumpeleka mdogo wake katika hospital ya rufaa ya bugando iliyopo jijini Mwanza,lakini wakati wakiwa njiani alifariki dunia kutokana na kujeruhiwa sana na mnyama huyo.

Kwa upande wake Mbunge wa jimbo la Busenda Kitusi Kamani (CCM),ambaye amehudhuria mazishi hayo kama sehemu ya mshikamano na kuwapa pole wafiwa, amesema wanachi wilayani humo wanatakiwa kuwa makini na wanyama pori wanaoingia kijijini humo.

Mbunge Kamani yupo wilayani Busenda kwa mapumziko na kuendelea kuhamasisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo katika jimbo lake.
- See more at: http://www.farajimfinanga.com/2014/04/kijana-wa-miaka-18-apoteza-maisha-baada.html#sthash.ynP7v3gf.dpuf

JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi

© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo