Balozi wa Nigeria nchini Marekani Profesa Adebowele Adufye, akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa mwaka 2013 anayopokea kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya
St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa Jumatano, Aprili 9, 2014.
Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe Job Ndugai
ambaye yuko katika ziara ya kikazi ambapo naye alialikwa kuhudhuria
hafla hii
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe akifurahia baada ya kupokea Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa mwaka 2013 kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya
St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa , Jumatano, Aprili 9,
2014.Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe Job
Ndugai ambaye yuko katika ziara ya kikazi ambapo naye alialikwa
kuhudhuria hafla hii
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa
Bernard Membe akimshukuru Balozi wa Nigeria nchini Marekani Profesa
Adebowele Adefuye baada ya kupokea Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango
Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa mwaka 2013
anayopokea kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo
kwenye Hoteli ya St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa , Jumatano,
Aprili 9, 2014.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula akifurahia Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa mwaka 2013 aliyopewa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa , Jumatano, Aprili 9, 2014.

Naibu Spika Mhe Job Ndugai ambaye yuko Washington kwa zaiara ya kikazi akifurahia Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa mwaka 2013 aliyopewa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa, Jumatano, Aprili 9, 2014.


Tuzo la Rais Kikwete lakadhibiwa Washington