Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh. Januari Makamba akiwa katika picha ya pamoja na Msanii MwanaFA aka Binamu.
Wadau kutoka Lugumi Enterprises walihudhuria katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jembe Jesca Msambatavangu kushoto na Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi Miraji Mtaturu wakiwa katika hafla hiyo.
Mke
wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda katikati akiwa katika picha ya pamoja na
Mama Arafa Ridhiwani Kikwete kulia pamoja na ndugu zake.