DUDUBAYA AFUNGUKA KUHUSU TUHUMA ZA KUMKATA SIKIO MAMA YAKE, HIKI NDICHO ALICHOKISEMA

Siku ya jana zilisambaa habari katika mitatandao kuwa Mwanamuziki Dudubaya Amemkata Mama yake Masikio na amekimbia na kujificha huku Polisi wanamtafuta.

Dudubaya Amehojiwa na Gossip Cop na kusema hata yeye anazisikia hizi habari na kupigiwa simu tu hajui chochote na wala hatafutwi na Polisi...Lakini amesema anajua wanao sambaza hizo Story ni ndugu zake mwenyewe ambao wanamuonea wivu baada ya kumjengea mama yake Nyumba.....


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo