Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa
Mkoa wa Mara, John Tupa, kwenye mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa
marehemu, Kilosa mkoani Morogoro, leo Machi 29, 2014.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi hayo.
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akimfariji Mzee Gabriel Tupa baba mzazi wa
aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika
nyumbanikwa marehemu Kilosa achi 29, 2014. (Picha zote na Ofisi ya
Waziri Mkuu)