Na Michael Ngilangwa, Njombe.
Wananchi wa kijiji cha Lunguya Kata Ya
Mtwango Wamemkataa Afisa Mtendaji wa Kata Hiyo Bwana Jimson Mwanza Mbele
Ya Mkuu wa Wilaya ya Njombe Wakimtuhumu Kuhusika na Ubadhilifu wa Fedha
Shilingi Laki Sita.
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba Amewataka Wananchi wa Kijiji cha Lunguya Kufuata Sheria Katika Kuchukuwa Maamuzi ya Kuwavua Madaraka Viongozi wa Serikali ya Kijiji Chao.
Mkuu Huyo Wilaya ya Njombe Ameyasema Hayo Baada Ya Kubaini Kuwepo Kwa Mapungufu ya Kiutendaji Katika Serikali ya Kijiji cha Lunguya Kata ya Mtwango Hali Iliyosababisha Wananchi Kuanza Kuwachukia Viongozi Wao.
Aidha Bi. Dumba Ametoka Kauli Hiyo Wakati Akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Lunguya Kufatia Wanachi Hao Kuuvunja Uongozi wa Serikali ya
Kijiji na Wajumbe Wake Kwa Kile Walichodai Kushindwa Kusimamia Miradi ya Maendeleo ya Kijiji Hicho.Mkuu Huyo Wilaya ya Njombe Ameyasema Hayo Baada Ya Kubaini Kuwepo Kwa Mapungufu ya Kiutendaji Katika Serikali ya Kijiji cha Lunguya Kata ya Mtwango Hali Iliyosababisha Wananchi Kuanza Kuwachukia Viongozi Wao.
Aidha Bi. Dumba Ametoka Kauli Hiyo Wakati Akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Lunguya Kufatia Wanachi Hao Kuuvunja Uongozi wa Serikali ya
Aidha Bi. DumbaAmebaini Kuwepo Udhaifu wa Kiutendaji Katika Serikali Hiyo ya Kijiji na Kuwataka Viongozi wa Serikali Hiyo Kutekeleza Majukumu Yao Kikamilifu Ikiwemo Kusimamia Shughuli za Maendeleo Pamoja na Kusoma Taarifa za Hesabu za Mapato na Matumizi Ili Kuondoa Migogoro Kati Yao na Wananchi .
Mkuu Huyo wa Wilaya Pia Amewataka Wananchi Kuwafichua na Kuwakamata Viongozi Wanaotumia Mali za Umma Kwa Maslahi Yao na Kisha Kufikisha Kwenye Vyombo Vya Sheri Ikiwemo Mahakama Badala ya Kujichulia Maamuzi Yasiyo ya Kisheria.
Akitolea Ufafanuzi Kuhusu Tuhuma Zinazowakabili Viongozi wa Serikali ya Kijiji cha Lunguya Akiwemo Afisa Mtendaji wa Kata ya Mtwango Jimson Mwanza Kuhusiana na Ubadhilifu wa Fedha Kiasi cha Shilingi Laki 6, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Paul Malala Amesema Wananchi Wanapaswa Kufata Utaratibu wa Kisheria na Kuacha Kulalamika.
Awali Wakizunguza Mbele ya Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri Hiyo Wananchi Hao Walimtakaa Afisa Mtendaji Huyo wa Kata na Kumtaka Mkurugenzi Huyo Kuondoka na Mtumishi Wake Kwa Kile Walichodai Kuchowa na Vitendo Vyake Vya Wizi
Mwishoni Mwa Mwaka Jana na Mwanzoni Mwa Mwaka Huu Wananchi wa Kijiji cha Lunguya Kata ya Mtwango Waliandamana Hadi Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Wakimtaka Mtendaji wa Kata Hiyo Jimson Mwanza Kutolea Ufafanuzi wa Fedha Zitokanazo na Miradi na Ushuru Unaotozwa Katika Kijiji Hicho Likiwemo Soko la Mbao