Pichani
shoto ni Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Manyara kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mh.Rose Kamili akielekezwa sehemu ya
kupita wakati wakiondoka ofisi za makao makuu ya CCM mjini Iringa jioni
ya jana,akituhumiwa kukutwa akigawa fedha kwa Wanakijiji wa Kitayawa kata
ya Luhota,Iringa Vijijini,ambapo Wananchi hao wanatarajiwa kupiga kura
kwa ajili ya kumpata Mbunge wa jimbo hilo Leo siku ya jumapili.
TAZAMA VIDEO:MBUNGE WA CHADEMA ALIYEKAMATWA NA JESHI LA POLISI IRINGA AKITUHUMIWA KUGAWA FEDHA KWA WANANCHI
By
Edmo Online
at
Sunday, March 16, 2014
