Baada ya Sinta Kupost Instagram akimshukuru Boss Lady Zari wa Uganda na watu kuanza kuanza kusema
anajipendekeza na kuwa hana hadhi ya Zari Sintah aliamua kuwajibu hao
baadhi ya watu kupitia Blog yake na katika majibu hayo amegusia kuwa
subiri tumuone kwenye Jumba la Big Brother Africa ..na Kwamba alimwambia
Zari See you Soon akiwa na maana wataonana kwenye Jumba
Hilo.....Jisomeee hapo chini Mwenyewe na Ujumlishe na Kutoa kama ndio
hivyo navyohisi mimi.....
"Kadiri
ninavyokuwa ninaamini adui ya mwanamke ni mwanamke aisee,ila kuna kaboy
kamoja sijui ni kenyewe ama kametumika kama chambo hapo sasa hawa ndio
wanaanzia utotoni ku comment ujinga hivyo, daah jana i had a long talk
wit Zee over the phone, of course was down she was trynaa to cheer me
up, hee nikajisikia tu kumuweka kama my friend ona akili nyingine za
wasiojielewa zilipotokea ooh huwezi kufanana kama yeye kwani nilikuwa
najifananisha? ooh kwakuwa tajiri kwahio matajiri hawana marafiki na je
atazikwa na mali zake? mnamkuza dada wa watu wala hana shauwo kihivyo
mwenye nacho anacho tu, sio wale wakipata matako hulia mbwata......
yaani watu wengine mnataka tuwanike whatever we do in Social Media my dear some of us, went to school and learn Ethics in Diplomacy, hapa nimeandika coz naingiza hela nilikwambia nitukane IG,fb, Twitter siwezi kukujibu hapa nipo kama sintah na kule nipo kama Christine John Manongi
kama unaona nafaidi angekuita wewe Ug n you know what i never slept in the hotel nimeishi kwao na wazazi wake of course is not something to be proud of ndio maana nilinyamaza
sasa wewe unaeonekana kituko maana baada ya kuona ule upuuzi ambao mlio comment auone dada wa watu aliniuliza whats wrong with Tanzanians? maana anakijua kiswahili fika nikamwambia those are small minds pipo they think i benefit alot from you

sasa wewe unayeyaona maisha yake kwenye IG subiri na mimi unione ktk jumba lile la Big bro soon SA, ndio maana nilimwambia see you soon, take note ..... Cheers ukipata maumivu meza Hedex
kwa kifupi mmejichoresha mlio comment utumbo kawaona hamna akili kweli eti najigonga angekuwa anakupigia wewe simu basi unatamani sana lolest "