SHANGWE YA USHINDI WA CCM KALENGA USIKU HUUU...

SHANGWE nderemo na vifijo ndivyo vinavyotawala maeneo mbali mbali ya jimbo la Kalenga na eneo la ofisi za CCM mkoa wa Iringa baada ya Mgombea wake, Godfrey Mgimwa kuongoza kwa kura nyingi katika matokeo ya awali.

Mpaka sasa Mgimwa anaongoza katika kata 11 kati ya 13, za jimbo la Kalenga huku Chadema wakifuatia kwa mbali.

Picha zote kwa hisani ya matukiodaima.com


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo