SHAMSA FORD WA BONGO MOVIE APATA AJALI

MWANADADA Bongo Movies, Shamsa Ford amenusurika kifo baada ya gari lake kugongana na lingine.

Akichonga na Mwanahabari wetu, Shamsa alisema tukio hilo lilitokea juzikati maeneo ya Sayansi akiwa na gari aina ya Noah aliligonga gari aina ya Vitz na magari yote yakaharibika vibaya lakini bahati nzuri hawakuumia.

“Kweli ni Mungu tu maana ajali ilikuwa mbaya, nashukuru sijaumia ila gari langu ndilo limeharibika vibaya, ilibidi nilifanye ustarabu nikatengeneza magari yote,” alisema Shamsa.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo