RIDHIWANI ASHUHUDIA SHULE ILIYOEZULIWA PAA NA KIMBUNGA KATIKA KIJIJI CHA KIKWAZU, AAHIDI KUSAIDIA KUIBORESHA TENA


Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu iliezuliwa paa na kimbunga  mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu iliyong'olewa paa na kimbunga  mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika.
Shule ya Msingi Kwazu ilivyobaki baada ya paa kuezuliwa na upepo mkali.
Ridhiwani Kikwete akiwahutubia  wakazi wa kijiji cha Kikwazu kata ya Kimanga  wakati wa mkutano wake wa kampeni za ubunge kuwania Ubunge Jimbo la Chalinze, leo.
(Picha zote na Adam Mzee)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo