PICHA ZA OMMY DIMPOZ AKIWA CHINI YA ULINZI WA POLISI NCHINI UINGEREZA


Screen Shot 2014-03-13 at 4.02.45 PM 
Ommy Dimpoz amethibitisha kufanya video yake mpya nchini Uingereza chini ya director ambae amehusika kuzifanya video za mastaa kama Fuse ODG, Wizkid na Davido ‘skelewu’

Leo Dimpoz ameshea picha za sehemu ya video yenyewe ambazo inamuonyesha akiwa kwenye ulinzi wa askari wa Uingereza. Screen Shot 2014-03-13 at 4.03.03 PM


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo