PICHA ZA HARUSI YA PAUL WA P-SQUARE HIZI HAPA

Baada ya pacha wake kufunga ndoa, hivi sasa ni zamu ya Paul Okoye ambaye amefunga ndoa ya kimila na mchumba wake wa muda mrefu Anita Isama. 
 
Paul na Anita wana mtoto wa kiume na harusi yao imehudhuriwa na watu kama Omotola, D Banj, Naeto C, Banky W, Ini Edo, Iyanya na wengine wengi.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye harusi hiyo.
2
3
4
5
6
7
12


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo