NYUMBA INAPANGISHWA MBEZI BEACH BEI POA KABISA


DSC_0842
Nyumba yenye vyumba vitatu kikiwemo Master Bedroom inapangishwa Maeneo ya Mbezi Beach, Barabara ya Muafaka nyuma ya Art Gallery almaarufu kama Jogoo.
Nyumba hii inauzio pamoja na geti.
Kama utapenda kupangisha unaweza kupiga namba 0754-367995 , 0777-967995 na 0763-114544
DSC_0835
Huu ni monekano wa Sitting room.
DSC_0838
Na hapa ni Dinning room.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo