Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara John Gabriel Tupa ukitolewa ndani ya nyumba yake.
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara.
Kutoka kushoto Kaimu kamanda
wa polisi mkoa wa Mara Poul Kasabago, mjumbewa NEC wa CCM Christopher
Gachuma , Mjumbe wa NEC wa bunda CCM.
Kutoka kushoto mwakilishi wa Chanel ten Augustine Mgendi, George Maratu wa ITV na Florence Focas wa Mwananchi.
Mwenyekiti wa Bakwata Musoma mjini akiwa na Askofu Msonganzila wa Kanisa Katoliki.
Rais wa klabu za waandishi wa habari Tanzania Keneth Simbeya akitoa salamu za rambirambi.
Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alikuwa mmoja wa waombolezaji.
Askofu Msonganzila akiweka sahihi kwenye kitabu cha waombolezaji.
Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara likiwa kwenye gari maalumu ukitoka kwenye makazi yake kwenda kanisani.
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA SHOMARI BINDA
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA SHOMARI BINDA