KANUMBA DAY itafanyika mwezi ujao tarehe 7/4/2014
katika ukumbi wa Dar Live mbagala tiketi za tamasha la uzinduzi wa
Kanumba Foundation zitauzwa siku mbili kabla ya tamasha.
Tiketi zitapatikana kwa Shilingi 2,000 kwa watoto wadogo Shilingi
10,000 kawaida na viti maalum vitakuwa Shilingi 50,000. Tiketi
zitapatikana Global PublisherS, Tabata sheli duka la Smart Fashion,Vanne
Fashion tabata shule,Ofisi za Kanumba the great film pale sinza meeda
na Dar Live.