Mwandishi
wa Habari Kwanzajamii/mjengwablog Martha Magessa akiwa kwenye Eneo la
Tukio ambapo Mti aina ya Mlingoti ulidondoka katikati ya Barabara
Itokayo Kalenga mjini Kuelekea Kijiji cha Wasa kilichopo Kata ya Maboga
Tarafa ya Kiponzelo Mkoani Iringa.
Abilia
wakisubiri wanakijiji kukata mti huo ili kuweza kuendelea na safari yao
iliyoanzia kijiji cha wasa kuelekea Iringa Mjini baada ya kukuta Mti
huo umendondoka jana usiku na kuziba njia na kuamua kusubiri masaa
matatu kuwatafuta wanakijiji waweze kusaidia kukata mti huo ili kuweza
kuendelea na safari yao.
Miti aina
ya Mlingoti iliyopandwa pembezoni mwa Barabara itokayo kalenga Mjini
Kuelekea Kijiji cha wasa kata ya Maboga Tarafa ya Kiponzelo Mkoani
Iringa.
Abilia wakiendelea kusubiri kukatwa kwa mti huo ili wawezekupita na kuendelea na safari yao.
Wanakijiji, abilia pamoja na Dreva wakishirikiana kukata Mti huo ili waweze kupita katika Eneo hilo.(Picha na Saidi Mnyalu via mjengwa blog)