Na Saimeni Mgalula
Tanzania ni Nchi ya amani sana ndio inavyosemekana kwa watu wengi sanahasa watu wanao ishi Nchi za jirani kama Zambia,kongo na somalia ndio maana hata wasomali ni wengi sana kutoka na amani iliopo wanaamua kuomba uraia hapa nchini.
Kutokana na hali hii na muonekano wa Tanzania kama nilivyo andika hapojuu lakini kwa sasa kuna baadhi ya sehemu za Tanzania zinafanya nchiyetu ingia kwenye mkumbo wa kutoweka kwa amani kati yetu sisi wenyewe
kama mtu anaamua kua mtoto wake aliye mzaa mwenyewe sembuse mtu baki.
Nimeamua kuyasema haya kwani Mkoa wa mbeya Bado umekuwa tishio kwamatukio ya kutisha ya mauaji ya watoto ambao hawana hata makosa na
nitaifa la kesho watoto hao kma ilivyo sasa kwa Wilaya hii mpya ya
Momba ambayo ipo mkoani Mbeya imeingia kwenye simulizi kwa haraka
zaidi kutokana na mauaji ya hivi karibuni ya watoto wawili kuaga dunia
mmoja kwa kunywagwa na baba yake mzazi na mwingine kupigwa mpaka kufa
na baba yake.
Ndio maana hata watu wa mbeya wakienda mikoa mingine huwa wanashindwa
hata kusaidiwa na hii inatokana na histolia ya mkoa wenyewe wanachul
kuwa kuwa samaki mmoja akioza wote wameoza.
Jamani Wanambeya tubadilike na kuacha mambo ambayo hayampendezi
mwenyezi mungu kama hayo ya mauaji sababu mkisema serikali mnakuwa
mnaionea wakati hata sisi wenyewe ni serikali tosha kwanini
tusiwetunapeana mawazo ya kimaendeleo ilikuakikisha tunajitoa katika
hali ya kimasikini
Jamani hata serikali pamoja na viongozi wake wanalemiwa kupambana na
haya kwani kama mnavyofahamu kuwa Tanzania ni kubwa sana kituambacho
huwezi kabisa kushughulikia mambo hayo.
Na kwa mapungufu ya watu kila kitu kikitokea katika jamii husema na
serikali inafanya nini wamesahau kuwa hata wao ni serikali tosha
kabisa.
Ndo maana hata baadhi ya wazee waliamua kuanzisha chama cha kuzuia na
kupambana na maovu katika Jamii (MUJATA) ili waweze kusaidia kupambana
na maovu bila ya malipo yeyote .
Na lengokubwa la kufanya hivyo ni kutaka kuikomoa mbeya iondokani na
sifaa mbaya ya kuongoza kwa matukio yote sio ya mauji tuu hata uaifu
wa kunyang`anya mali kwa kutumia silaha hasa katika maeneo ya Wilayaya Mbarali Mkoani hapa maeneo ya machimbo kumekuwa tishio kwa madereva.
Hata hivyo inabidi tuishukuru serikali kwa kujitaidi kuzibiti kama
hivyo kwani kama serikali ingekuwa haishughuliki hayo mbona kila siku
utasikia kuwa kuna majambazi wamekamatwa hii ni pamoja na jitiada zao
Na mwisho kabisha ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa
wasomaji kwani popote walipo wataweza kuacha maovu na kupambana na
kazi ilikuweza kuinua uchumi wao kwa njia ilio salama isio ya
ushirikina kama watu wanavyo taka mali kwa njia fupi.Naimani utakuwaumenielewa na utabadilika ilikulitoa doa ambalo limeingia kwenye nguonyeupe na kulifuta kwa haraka.