MALORI YAGONGANA MLIMA KITONGA, ABIRIA WAKWAMA KWA ZAIDI YA SAA NNE...!!


Baadhi ya abiria wa kutoka sehemu mabalimbali wakisubiri lori lililoziba barabara kuondolewa baada ya kupata ajali ya kugongana na lori jingine kwenye mlima Kitonga. 
 
Ajali hiyo imesababisha magari mengi kuweka kambi kwa muda wa zaidi ya saa nne.

Lori la mafuta lililopo upande wa kulia na lori la mizigo lililopo upande wa kulia yaligongana na kuziba barabara kwenye mlima Kitonga na kusababisa magari mengine kukwama kwa zaidi ya saa nne
Lori likiwa limetumbukia kwenye korongo mlimani Kitonga


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo