HOT NEWS: YULE MTOTO ALIYEZALIWA GESTI WAKATI MAMA YAKE AKIISALITI NDOA YAKE NA MWANAUME MWINGINE, AFARIKI DUNIA...!!

 Mtoto huyo wa kiumeakiwa amefunikwa shuka la gesti

Taarifa zilizotufikia punde zinadai kwamba yule mtoto wa kiume aliyezaliwa gesti huku mama yake  Bi.Mwanaidi Athumani akiwa na mume mwingine amefariki dunia jana.
 
Baada ya kupokea taarifa hizo Mwandishi wa habari hizi alifika hospital  ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro na kuzungumza na daktari mmoja ambaye alithibitisha mtoto huyo aliyekaa tumboni kwa mama yake kwa miezi 7 amefariki dunia.
 
 Vile vile Mwandishi wetu alifanya juhudi za kina na kufanikiwa kumpata mume wa mwanamke huyo ambaye pia alithibitisha kichanga hicho kufariki dunia.
 
Mwandishi alifanikiwa kufanya mahojiano  ya tukio hilo na baba huyo wa familia hiyo  ambapo pamoja na kuchukuha hatu kali zaidi ya mkewe huyo pia amefunguka na kusema mambo mengi
 
Na Dustan Shekidele


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo