HII KALI KULIKO: TRAFIKI ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUDANDIA GARI KWA MBELE

Picha hii si ya tukio hilo.
Ofisa wa Kikosi cha Usalama Barabarani amenusurika kifo baada ya kumsimamisha dereva wa gari dogo jirani na kituo cha daladala cha Aga Khan wakati akikagua gari hilo dereva akaliondoa kwa spidi huku trafiki huyo akiwa juu ya boneti na kusababisha sintofahamu.

Baadaye dereva wa gari aliamua kusimama baada ya kuzuiliwa kwa mbele na gari lingine kitendo kilichompa mwanya trafiki aliyeshuka na kumshushia kichapo cha nguvu dereva huyo.
(Video: Matte Gallée/Global TV)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo