BALAA: PICHA ZA KIMAHABA ZA HEMEDI PHD NA NAJMA WA MR. BLUE ZAZUA GUMZO, "CHEKI" HAPA



Waigizaji wa filamu nchini ambao pia ni wanamuziki wa Bongofleva Hemedy Suleiman na Najma Datan wamezua maswali kwa watu wanaofuatilia habari za mastaa wa Tanzania baada ya picha zao wakiwa kimahaba zaidi kuanza kusambaa. 

Katika picha hizo zinazoonekana hapo chini wawili hao wanabusiana kimahaba kama wapenzi walioshibana. 

Haijajulikana kama picha hizo ni za video mpya ya muziki, filamu au ni wapenzi kweli.
Hata hivyo tayari inajulikana kuwa Hemedy kwasasa anatoka na Zuhura Gora ambaye ni model na muigizaji pia, huku Najma akiwa ameshawahi kuwa katika penzi na Mr.Blue kabla ya kuhisiwa kutoka kimapenzi na msanii mwingine Diamond Platnumz.


-Habari kwa hisani ya SwahiliWorldPlanet-


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo