Baadhi ya maduka yakiwa yamefungwa eneo la Miyomboni mjini Iringa....
WAFANYABISHARA wa maduka katika
manispaa ya Iringa, mkoani hapa wamegoma kufungua maduka yao kwa lengo la kupinga
mashine za kutolea risiti za elektroniki (EFD.
Mwitikio imeshuhudia maduka yote kufungwa, huku baadhi
ya wafanyabiashara wakijikusanya makundi na wengine kuzunguka huku na kule kuhamasisha,
biashara zote zifungwe, kwa madai kuwa hawazitaki mashine hizo kutokana na sababu mbalimbali
ikiwemo tozo la asimia 18.
chanzo:mwitikio