WAFANYA BIASHARA MANISPAA YA IRINGA WAFUNGUA MADUKA


QQQQQQQQQQQ_dba0a.jpg

Ni maduka yaliyopo Eneo la Miyomboni Manispaa ya Iringa (Picha na Fadhi Mtanga)
******
Na Martha Magessa
Wafanya biashara wa manispaa ya Iringa wafungua maduka yao, baada ya kikao na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt.Christine Ishengoma.
 
Uliyo fanyika jana  katika ukumbi wa community center uliyopo Eneo la kitanzini Manispaa ya Iringa  na kuwaomba wafungue maduka yao ili wananchi wapate huduma.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo