KUTOKA MBEYA KWENYE UCHAGUZI WA UDIWANI, MBUNGE WA MBEYA VIJIJINI (CCM) APIGWA NA KUJERUHIWA

Wakuu,
Kama ilivyo kawaida yetu kuwahabarisha kupitia hapa, tutaendelea kuwaletea kila kinachojiri, kuanzia kufunguliwa vituo vya kura, upigaji kura, flow ya wapiga kura, matukio yoyote yatakayokuwa yanajitokeza wakati wa upigaji kura, matukio yoyote yatakayojitokeza wakati wa kuhesabu kura, kutangazwa matokeo, pamoja na matukio yatakayotokea wakati wa kutangaza matokeo.

Tutaleta updates kadri zinavyopatikana kutoka maeneo mbalimbali, ili kuhabarisha umma juu ya shughuli hii muhimu ya kidemokrasia.

Tutashirikiana na makamanda wengine walioko katika kila kata ya uchaguzi au wanaopata taarifa za uhakika kutoka maeneo hayo.

Updates:
Mwananchi Breaking News....

MBUNGE CCM ASHAMBULIWA: L. Mwanjali Mbeya Vijijini apigwa na kujeruhiwa asubuhi hii kwenye uchaguzi kata ya Santilya, polisi yakamata 7 wa Chadema kuhusika.

Updates;

Huko Bagamoyo ambako kuna uchaguzi katika Kata ya Magomeni, gari moja inayosadikiwa kuwa ya CCM imekamatwa na vijana wa Ulinzi wa CHADEMA, Red Brigade, ikiwa silaha zajadi yakiwemo mapanga.

CREDITS:JAMII FORUM


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo