Muonekano wa kituo cha mabasi Njombe, msimu huu wa mvua kikiwa kimejaa tope na maji hali inayosababisha kero kubwa kwa watumiaji wa kituo hicho, licha ya serikali kutoza ushuru kila siku kwa kila gari linaloingia kwenye kituo hiki(Picha na Edwin Moshi)
HIVI KWA HALI HII MADEREVA WAKIGOMA KUINGIA HAPA WATALAUMIWA...???
By
Edmo Online
at
Monday, February 10, 2014
