UKAMATAJI NA UFUNGAJI WA TAIRI ZA MAGARI WAPIGWA MARUFUKU

Kampuni zote zinazojishughulisha na ukamataji na ufungaji magari yaliyoegeshwa kiholela zimepigwa marufuku kutokana na malalamiko mbali mbali ya wananchi yakiwemo ya kuharibiwa magari,rushwa pamoja na kampuni hizo kufanya kazi kinyume cha sheria.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo