SIMBA YATINGA NUSU FAINALI MAPINDUZI CUP, YAIBANJUA CHUONI 2-0

#‎MAPINDUZI‬ CUP: Wekundu wa Msimbazi Simba waendeleza kicheko baada ya kufanikiwa kutinga nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Chuoni 2-0. 

Nusu fainali sasa kuzikutanisha Simba na URA na Azam kukipiga na KCC.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo