Mke wa Marehemu Mzee Liundi akiweka shada la maua.
Mtoto
mkubwa wa Marehemu JAji George Bakari Liundi, ndg. Taji Liundi na Mkewe
wakiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Baba yao,wakati wa mazishi yake
yaliyofanyika leo kwenye Makaburi ya Chang'ombe jijini Dar es Salaam
leo.
Watoto wengine wa Marehemu.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Uratibu na Bunge, Willium Lukuvi
akiweka shada la maua kaburini kwa niaba ya Serikali.
Msajili wa Vyama vya Siasa,Jaji Francis Mutungi akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Jaji George Bakari Liundi.
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Jaji Joseph Walioba akiweka shada la Maua kaburini.








