Akiongea
na Bongo5, Ray C amesema picha alizoziweka Instagram akiwa na mwanaume
si maisha halisi bali alitaka ‘kuhave fun’ na mashabiki wake. Lakini
amekiri kuwa usumbufu anaoupata kutoka kwa wanaume si mdogo.
“Sijapata bado mchumba nilikuwa nawachombeza fans wangu kwenye Instagram kwasababu nasumbuliwa sana.”

Kuhusu
nyimbo mpya, Ray C amesema mwaka huu atarudi kwenye muziki kwa kuachia
nyimbo mfululizo akianza na ‘Walimwengu Wote Wajue’utakaotoka mwezi
March.
“Wapenzi wa muziki wangu wakae mkao wa kula,nyimbo zipo tayari bado kuziachia tu. Mwaka huu nitaanza na wimbo ‘Walimwengu Wote Wajue’ ambao umefanyikia chini ya C9 Records. Baada ya hapo harakati za muziki zitaendelea,” alisema Ray C.
Katika hatua nyingine, Ray C ameandika ujumbe huu kwenye Instagram: Yes am back……Ingawa wabaya wangu walitamani nisipone…Mungu alinipenda zaid…back to life ….am back Yo!!!Sty Tuned….Big Things r
coming.

CHANZO: BONGO 5