Rais
Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa
marehemu, George Liundi wakati wa shughuli za kuagwa mwili huo
zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, wakitoa heshima
za miwsho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu George Liundi, wakati
wa shughuli za kuagwa mwili huo zilizofanyika kwenye viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Rais Mstaafu wa awamu ya
tatu Benjamin Mkapa, akielekea kutoa heshim za mwisho
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, wakitoa heshima
za miwsho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu George Liundi, wakati
wa shughuli za kuagwa mwili huo zilizofanyika kwenye viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam, leo
Rais
Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, Mwenyekiti wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba mpya, Jaji Joseph Warioba, Makamu
mwenyekiti wa CCM Bara, Philp Mangula na Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera na Uratibu na Bunge) William Lukuvi, wakishiriki Misa maalum
ya kumuombea marehemu GEORGE Liundi, wakati wa shughuli za kuagwa mwili
zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, na Waziri wa
Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu na Bunge) William Lukuvi
(kushoto) wakijumuika na waombolezaji katika misa maalum ya kumuombea
marehemu gEORGE Liundi, wakati wa shughuli za kuagwa mwili zilizofanyika
kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo
Rais
Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, na Waziri wa
Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu na Bunge) William Lukuvi
(kushoto) wakitafakari msiba huo wakati wa shughuli za kuagwa mwili
zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo
Sehemu ya wanafamilia wakishiriki shughuli hiyo.
Sehemu ya wanafamilia wakishiriki shughuli hiyo.
Mjukuu wa marehemu, ambaye ni motto wa mtangazaji, Taji Liundi, akisoma wasifu wa marehemu.
Baadhi ya viongozi wakielekea kutoa heshima za mwisho.