Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Kikwete akihutubia baada ya kupokea maandamano ya
watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014.
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la Chipukizi kabla ya
kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo
January 5, 2014.
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua Brass Band ya Chipukizi kabla ya
kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo
January 5, 2014.
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wana UVCCM baada ya kupokea
maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5,
2014.PICHA NA IKULU
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Mwenyekiwa CCM (Visiwani) na Rais
wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine waki imba wimbo
wa mashujaa wakati wa ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea
miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara
mjini Zanzibar leo January 5, 2014
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Kikwete akipokea maandamano ya watembeaji
kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja
vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014.





