MWANAMKE huyu mkaazi wa kahama wiki iliyopita alitoa kali ya mwaka alipofakamia pombe kali almaarufu kwa jina la kiroba,
Chanzo cha habari kiliieleza kwamba
dada huyu alifakamia Viroba vya kutosha hatimaye kujikuta akisasambua
nguo moja baada ya nyengine kitendo ambacho kilimfanya awe kivutio
kikubwa kwa watu waliokwepo katika eneo la tukio muda ule,
Yani wakaazi wa kahama mjini walifurika katika eneo la tukio mkabala na geti la soko la ndizi mjini humo.
Yani wakaazi wa kahama mjini walifurika katika eneo la tukio mkabala na geti la soko la ndizi mjini humo.
PICHA HIZI HAPA CHINI TUMEZIFICHA KUTOKANA NA MAADILI YA KIAFRIKA.
2. (((BOFYA HAPA)))
PICHA hizi ni kwa hisani ya mdau kutoka Kahama Mjini wa website hii.