Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam,imeahirisha kutoa au kutotoa zuio
la muda kwa kamati Kuu ya CHADEMA kutojadili uanachama wa Zitto Kabwe
mpaka kesho mnamo majira ya saa nane mchana.
NEWZ ALERT:MAHAKAMA KUU YA DAR ES SALAAM YAHIRISHA KUTOA UAMUZI WA MAOMBI YA ZITO KABWE
By
Edmo Online
at
Monday, January 06, 2014
