Zilikuwa
picha nzuri lakini zilizojaa huzuni kubwa baada wakinadada ndugu watatu
kupotezewa na mama yao mpendwa masaa 12 kabla hawajafunga ndoa yao ya
pamoja.
wakati
mama yao na Sarah, Kaylee na Jodie Swales - waliokuwa na umri wa
miaka 19, 21 and 22 akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa , walikuwa
tayari wamesha chumbiwa.
Na kabla ya hapo mama yao alipenda sana aje aone harusi ya watoto wake wapendwa..
Tazama hapa harusi ilivyokuwa ....

Ilikuwa ni Huzuni na furaha pamoja wakati Sarah, Kaylee na Jodie Swales wakiwa wanafunga ndoa wote kwa pamoja

Wakiwa wanawatuliza huku harusi ikiiendelea

Mabinti
hawa ambao walikuwa na plan ya kuolewa mwaka jana mwezi wa kumi tarehe
26, waliamua kuwahi zaidi ili kuona mama yao anahudhuria pia harusi hiyo
kwa maana walijua hali yake si nzuri

Muziki unaendelea lakini wakiwa na huzuni kubwa ya mama yao

Kufunga ndoa, huku Beck akisema kuwa mke wake anampenda sana

Watoto wa Swales wakionesha picha ambapo walikuwa katika kipindi cha Furaha

Hii harusi iliendelea huku familia zote zikiwa na huzuni kubwa

Watoto wa Swales wakiwa wanalia kwa machungu wakati picha za mama yao zinaoneshwa katika harusi

Marafiki
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi