Kwanza zilianza kusambaa picha ambazo zilimuonyesha Jaguar akiwa
gerezani ambapo ilifahamika kwamba Jaguar hakua amepelekwa gerezani kwa
kosa lolote la kuvunja sheria bali alikua anafanya video ya single yake
mpya inaitwa ‘Kioo’ ambayo ndio hii hapa chini.
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 28, 2026
7 hours ago
