B12 WA CLOUDS FM AZUNGUMZIA ISHU YAKE YA KUSIMAMISHWA KAZI

Hamis Mandi aka B12 mkali wa pindi la XXL ni miongoni kati ya watangazaji wa Clouds walio subirishwa kazi ya utangazaji kutokana na madai ya chinichini ya kuwa wamekiuka sheria na taratibu za Clouds Media inavyotakiwa kuendeshwa.clip_image002Baada ya chanzo chetu kuzinasa taarifa hizo, kiliamua kumvutia wire B12 live bila chenga naye akamwagika kimtindo huu,

“Mimi bado nipo Clouds media sema tu sipo kwenye kipindi now lakini mwezi wa pili nitakuwa ndani ya kipindi ukitaka full details zungumza na uongozi wa Clouds Media hope utafahamu zaidi things follow apart” – B12.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo