skip to main |
skip to sidebar
AJALI YA LORI MBARALI MBEYA
Gari aina ya scania lenye
namba za usajili T 760 BBY limepata ajari leo asubuhi maeneo ya Igawa
Wilaya ya Mbarali Mkoani mbeya lililokuwa linatoka zambia kuelekea dar
es salam na kumwaga kopa zote ambazo lilikuwa limebeba na kwa bahati
hamna aliyeumia wa kufa(picha na Saimeni Mgalula wa Eddy blog)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi