TANZANIA YAZIDI KUPAA VIWANGO VYA FIFA

TANZANIA imezidi kupaa kwenye viwango vya ubora wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kupanda kwa nafasi nne na sasa ni ya 120 kutoka nafasi ya 124 mwezi uliopita. 

Viwango hivyo vimetoka ikiwa ni takribani wiki moja kupita tangu Tanzania itoke kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoandaliwa na Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo