HATARI:MEYA NA FAMILIA YAKE WAPIGWA RISASI HADI KUFARIKI WAKIWA UWANJA WA NDEGE

6063
Meya wa mji wa Labangan imeripotiwa kuwa amepiga risasi akiwa na watu wengine watatu maeneo ya airport huko Manila Philippine.

Ukol Talumpa huyo alipigwa risasi pamoja na mke wake, mtoto wao wa miezi 18 na mtu mwingine mmoja na kufariki.

Ripoti hii inasema kwamba watu wengine wanne wamejeruhiwa kwenye tukioa hilo wakati mshambuliaji huyo akitimiza adhama yake.

Kiongozi huyo alikuwa nje ya terminal 3 ya airport akisubili usafiri na mtu mmoja akiwa kwenye pikipiki alipita na kuwa shoot kwa karibu na kukimbia akiwa pikipiki yake.

Chanzo cha tukio hilo ambalo linaonekana kuwa na chanzo nyuma yake bado hakijajulikana.
(Picha juu ni  Ukol Talumpa)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo