UGOMVI WATOBOA SIRI YA WANAFUNZI KUFANYA NGONO NA MCHUNGAJI JIJINI MBEYA

MCHUNGAJI wa Kanisa la Pentekoste aliyefahamika kwa jina la Bryson Mwaikambo (55) anatuhumiwa kuwabaka na kuwaambukiza ugonjwa wa zinaa wanafunzi wawili wa kike wanaosoma katika shule ya msingi ya Maendeleo wa  kata ya Nsalala wilaya ya Mbeya vijiji mkoani Mbeya.

Wanafunzi hao (majina yanahifadhiwa) wenye umri kati ya miaka 11 na 13 wanaosoma darasa la nne na darasa la sita walifanyiwa unyama huo kuanzia mwaka 2012 ambapo Mchungaji huyo alianza kujenga mazoea na watoto hao wadogo kwa kuwapa peremende  pamoja  na fedha....

‘“Tumejua tukio hili baada ya kutokea ugomvi baina yao wa kugombania maji na hivyo kuanza kurushiana maneno, mmoja wa watoto hao alikuja ofisini kushitaki kuhusu ugomvi wao ndipo mmoja akasema kuwa mwenzie anatembea na Mchungaji Mwaikambo,’’ alisema Mwalimu mkuu msaidizi Bi. Lucy Kamongile.... Bofya hapa kusoma habari hii kwenye blogu ya Mkwinda


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo