NEWS ALERT: MTU MMOJA AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI, 39 WAJERUHIWA VIBAYA

Taarifa zilizotufikia Hivi Punde zinasema Mtu Mmoja afariki dunia   na wengine 39 wareruhiwa kwa  Risasi  katika kijiji cha Lukindo Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro kwenye Mgogoro wa wakulima na Wafugaji  Wanaogombea Bonde la Mgongolwa.Muda huu.taarifa zaidi inakuja
 
Chanzo: Juma Mtanda Blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo